kwa habari nilizopokea hivi punde msanii wa kaole aitwae mlopelo amefariki duniani

kwa habari nilizopokea hivi punde msanii wa kaole aitwae mlopelo amefariki duniani

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
63852_456674927711403_934986115_n.jpg

hizi habari nimepokea kutoka kwa mmoja wa wasanii wa kaole,kama ni kweli mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi amen
 
aiseeeeeeee babaangu huyu jamaaa nadhibitisha kwa umakinini kabla hatujaanza kusema mungu aipumzishe roho ya marehemu milele amin
 
May his soul rest in peace!wasanii tutakukumbuka daima...

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Sababu ya kifo chake ni nini?
R.I.P Msanii wa Kaole
 
mbele ya kifo hautambi...kifo ni kiboko yao...
R.I.P Dr Remmy...
 
R.i.p. Mlope.nenda salama MUNGu aillaze mahala pema.upumzke kwa aman
 
alikuwaga anaigiza kama kibwengo au mchawi yeye na bi Mwenda, dah RIP Mlopero, i remember those days.
 
Nasikia Mlopelo aliwahi kutoa wimbo,Kama Kuna mtu anao naomba
 
Back
Top Bottom