Uchaguzi 2020 Kwa hali hii, CHADEMA wanajiandaa kuvunja Muungano

Huyu Lissu mbona anawapeleka mputa mputa ccm kila anakoenda wanajaa hofu huyu mtu sio wa kawaida
 
Muungano ni sawa na koti likubana unalivua (karume baba) muungano soma.... " zanzibar and union questions " the late prof. Haroub Othman usiongee upuuzi hapa
 
Wacha uvunjike tu.

Tuone nani atakaeumia.

Ila Lissu hatokaa awe Rais.
 
Hawawezi maana huu muungano tumeapa kuulinda mpaka kwa tone la mwisho la damu zetu
Umeapa kuulinda wewe na nani?

Acha soga za kukaa na mashemeji zako na kuwadadanganya kuhusu muungano, maisha yanaenda kasi sana!
 
Kwani zanzibar iliungana na nchi gani kutengeneza TANZANIA?? Maana hatujawahi kumsikia mshirika wake!
 
Unataka uvunjike? Hujui umuhimu wake, thought u were smarter
 
Zipi, zitaje. Maagano ya kishirikina mnataka kila mtu ashiriki?
Maagano gani ya kishirikina, ushirikina ni nn according to u? Je ukristo/ uislam si ushirikina? I thought u were smarter
 
Unataka uvunjike? Hujui umuhimu wake, thought u were smarter
Mimi binafsi siujui.

Hebu tuambie angalau tujue tu hata mbili tatu siyo mnashupaza shingo kuutetea halafu hamjui.
Tuambie kiongozi kwa faida ya wengineo.
 
Kadili siku zinavyoenda kuelekea uchaguzi mkuu CHADEMA ndo wanazidi kujipunguzia kura. Chama kinazidi kukosa uelekeo sitashangaa CHADEMA kupata ushindi wa asilimia 15.
 
Tundu Lissu hawezi kuwa Rais wa Tanzania hata yeye anajua hilo
Anapotangaza atavunja muungano ndio anazidi kujiharibia,hayo maneno hata kina sefu waliachana nayo zamaani
 
Kwan, unafaidagani wewekilaza ataukivunjikawewe umeubeba
 
Nchi imeharibiwa sana hakuna utawala wa haki na sheria. Tusiwe washabiki wa dhulma; ni makosa makubwa, ni sawa kuanza kula nyama ya Binadamu, haitaishia hapo! Ukimaliza wapinzani utaanza kudhulumu ccm wenzio, kwani hatujashuhudia haya?
Nape Nauye aliwahi kunyooshewa bastola mchana kweupeee na maccm wenzake.
 
Faida za Muungano zimebakia ni za ki-academic au kihistoria. Watu wanaogopa kuvunja Muungano utadhani kabla ya 1964 kulikuwa hakuna Tanganyika au ZNZ.

Tunaichelewesha bure ZNZ kupata maendeleo kipitia kipaumbele vyao na raslimali zao. Ni uwongo kusema tunawaenzi Nyerere na Karume kwa kudumisha MUUNGANO kwa kuwa siku zote walitaka identity ya ZNZ kama Taifa isipotee.

Nyerere kwa ninavyomuelewa angekuwa hai angetambua kwamba sababu za kuwa na MUUNGANO wa Serikali 2 zimepitwa na wakati kwa hiyo angeshauri ifanyike referendum kwa wananchi kutathmini kama tunamtaka Muungwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…