Uchaguzi 2020 Kwa hali hii, CHADEMA wanajiandaa kuvunja Muungano

Mabunge yaliridhia


Haya tufanye mabunge yaliridhia.

Lakini leo hii wananchi wengi (majority) ya upande mmoja wa muungano kwa muda mrefu wanasema muungano unawanyonya, unawabana, unawadhulumu nk, katika hali hiyo, kibinadamu, unafanyaje???!!.

Ni lazima muungano ufanyiwe "overall review".

Haingii akilini kulazimisha "ndoa" ambamo ndani yake wanandoa wanaishi kwa uhasama, ni lazima ili ama ndoa ivunjike/ivunjwe au suluhu itafutwe.
 
Mitandaoni mmejaza fake accounts kupinga muungano na serikali.

Wananchi mitaani wanaukubali na kuunga mkono
 
Muwe mnaweka na akiba ya maneno sio kuropoka tu,, japo naombea ccm ipite lakini kwenye swala la muungano umechemsha babaa,,,hivi nikuulize swali! muungano unafaida gani kwa wazanzibari?
Wazanzibar wanajua umuhimu na faida za Muungano.

Wapemba ambao walishiriki kuwakandamiza wazanzibar wanaupinga muungano ili kurudisha utawala wa Jamshed
 
Kwa Tanganyika muungano umeleta umaskini usio na tija. Tanganyika inabeba gharama nyingi mno
Pande zote 2 hazitaki Muungano. ZNZ wanasema tunawakalia kimabavu na tunawachelewesha kupata maendeleo yao wakati Tanganyika wanadai wanabeba gharama za kuiendesha Serikali ya ZNZ.

Muungano umefeli upigwe chini tu kama miungano mingine tu duniani mfano USSR, Yugoslavia etc.
 
Wazanzibar wanajua umuhimu na faida za Muungano.

Wapemba ambao walishiriki kuwakandamiza wazanzibar wanaupinga muungano ili kurudisha utawala wa Jamshed
Jemshid anaanzia wapi kurudi? Kwanza unajuwa umri wake ni miaka mingapi na yuko wapi sasa? Ni kibabu cha miaka 91 na kinaishi Portsmouth Uingereza kama mnufaika wa utawala wa Malkia wa Uingereza (Subject of British Empire)
 

Ongelea nafsi yako
 
Mnafanya Mambo ya hovyo chini ya mwavuli wa muungano mwaka HUU jino kwa jino nyie wenyewe mnajua kabisa jinsi tulivyovumilia na dunia inajua endeleeni kujifanya wajanja SASA BASI!!!
 
Mitandaoni mmejaza fake accounts kupinga muungano na serikali.

Wananchi mitaani wanaukubali na kuunga mkono

Ni wananchi wa Tanganyika tena baadhi tu ndio wanaopenda muungano kwakuwa hawaathiriki na chochote isipokuwa kasumba ya UCCM ya kulinda muungano kwa hali na mali wakati wananchi wa Zanzibar wengi wao hawautaki muungano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…