presenter
Member
- Nov 27, 2013
- 69
- 22
Yaani hii nchi inakera sana, yani tovuti ya muhimu kama ya takwimu za nchi (NBS) taarifa zote zimeandikwa kwa kiingereza...Hivi wanategemea kwamba kila atayetembelea tovuti hiyo anaelewa kiingereza...Huu kweli utumwa na tumewezwa (rejea Prof. Ngugi wa Thiongo) itembelee uone..www.nbs.go.tz