Kwa hali hii naweza kupata mkopo?

Kwa hali hii naweza kupata mkopo?

slmmfm

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2014
Posts
304
Reaction score
65
Habari wadau, hivi kama nimekosa mkopo nikaamua mwaka wakwanza kujilipia mwenyewe chuo.
Je nikiwa mwaka wapili afu nikiomba tena naweza nikapata

Kwa facult ya education,
 
watalaam njoen huku weng twataka kufaham
 
Habari wadau, hivi kama nimekosa mkopo nikaamua mwaka wakwanza kujilipia mwenyewe chuo.
Je nikiwa mwaka wapili afu nikiomba tena naweza nikapata

Kwa facult ya education,

Mimi nadhani ulikosa mkopo mwaka wa kwanza kwa sababu haukumeet requirements za HESLB za kusecure loan

Nadhani hakuna change yoyote iliyotokea hapa katikati iliyokupa hivyo vigezo

Nadhani hautopata
 
We pimbi skia nikwambie mwakajana nili aply nje ya muda husika, outdated
Kutokana na sababu za kiuchumi
but now nimeomba ontime! Xo we hv a change 's
Upooo!!!!
 
Habari wadau, hivi kama nimekosa mkopo nikaamua mwaka wakwanza kujilipia mwenyewe chuo.
Je nikiwa mwaka wapili afu nikiomba tena naweza nikapata

Kwa facult ya education,
whatever the faculty, whatever the year of study, waweza pata loan.. we subiria mpakuliwe chakula cha bodi ucheki!
Kuna mshikaji wangu alipata mkopo kwa mara ya kwanza akiwa mwaka wa 3...... mamilioni ya kutosha!!!!!
 
Ukikosa boom first year we sahau boom kabisa hio ni kwa uzoefu wangu ila kama kiongozi niliwai kufatilia waliokosa boom na kuapply tena majibu niliyopewa kipindi hicho ni Mungu ndo anajua ila nilipewa ukweli halisi na me nilizika nikawapa wadau ukweli jinsi nilivyoambiwa ila kwa watu wa coz za special groups kama EDU,ENG,nk huwa wanapata kwa nadra sana
 
We pimbi skia nikwambie mwakajana nili aply nje ya muda husika, outdated
Kutokana na sababu za kiuchumi
but now nimeomba ontime! Xo we hv a change 's
Upooo!!!!

Umemtukana wakati kakwambia ukweli.
 
Ukikosa boom first year we sahau boom kabisa hio ni kwa uzoefu wangu ila kama kiongozi niliwai kufatilia waliokosa boom na kuapply tena majibu niliyopewa kipindi hicho ni Mungu ndo anajua ila nilipewa ukweli halisi na me nilizika nikawapa wadau ukweli jinsi nilivyoambiwa ila kwa watu wa coz za special groups kama EDU,ENG,nk huwa wanapata kwa nadra sana

Je km 1st year hukuapply ukajilipia 2nd year ukaomba kunauwtzekano wa kupata? Msaada tafadhal course ni education
 
Back
Top Bottom