Habari wadau, hivi kama nimekosa mkopo nikaamua mwaka wakwanza kujilipia mwenyewe chuo.
Je nikiwa mwaka wapili afu nikiomba tena naweza nikapata
Kwa facult ya education,
Mimi nadhani ulikosa mkopo mwaka wa kwanza kwa sababu haukumeet requirements za HESLB za kusecure loan
Nadhani hakuna change yoyote iliyotokea hapa katikati iliyokupa hivyo vigezo
Nadhani hautopata
whatever the faculty, whatever the year of study, waweza pata loan.. we subiria mpakuliwe chakula cha bodi ucheki!Habari wadau, hivi kama nimekosa mkopo nikaamua mwaka wakwanza kujilipia mwenyewe chuo.
Je nikiwa mwaka wapili afu nikiomba tena naweza nikapata
Kwa facult ya education,
We pimbi skia nikwambie mwakajana nili aply nje ya muda husika, outdated
Kutokana na sababu za kiuchumi
but now nimeomba ontime! Xo we hv a change 's
Upooo!!!!
Ukikosa boom first year we sahau boom kabisa hio ni kwa uzoefu wangu ila kama kiongozi niliwai kufatilia waliokosa boom na kuapply tena majibu niliyopewa kipindi hicho ni Mungu ndo anajua ila nilipewa ukweli halisi na me nilizika nikawapa wadau ukweli jinsi nilivyoambiwa ila kwa watu wa coz za special groups kama EDU,ENG,nk huwa wanapata kwa nadra sana