Kwa hali hii naweza kusoma MD Muhimbili..?

Kwa hali hii naweza kusoma MD Muhimbili..?

Epicauta elbovitata

Senior Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
143
Reaction score
19
Nimesoma CBA na nimepata div 2 ya 10..
Je naweza kupata chanc muhimbil kwa faculty ya MD.?

HELP WILL BE APPRECIATED
 
Hivi sikuhizi medicine wanachukuwa CBA .. enzi zetu ilikuwa ni PCB Tu!
 
asante kwa swali la nyongeza.hiki chuo kina majengo mazuri sana na kinachukua mtu yoyote mwenye uwezo wa kulipia

asante kwa maelezo yako mkuu..but i think i'll stick to other facultz cz im sure hawa jamaa tuitionfee yao itakua vry high....
 
Muhimbili kozi zote kasoro environmental science degree wanachukua only PCB.
 
Nilisoma cbg nikapata 9 points na ninasoma medicine kwa ufadhili wa serikali nje ya bongo,if u want medicine that bad ni-pm nikueleze inakuwaje!
 
Muhimbili kozi zote kasoro environmental science degree wanachukua only PCB.
Kuna dogo ana pts 11, amepata B ya biology na D ya chemistry, anaitaka md sana, vp muhimbili au udom atapata?
 
Hapana. Pharmacy, BMLS, MD, Radiotherapy hizo ndo strictly PCB lakini course kama Bachelor of Nursing pamoja na hiyo Environmental utaula mkuu. We jitose kwa hizo mbili kama MD is not your emphasis.
 
Kuna dogo ana pts 11, amepata B ya biology na D ya chemistry, anaitaka md sana, vp muhimbili au udom atapata?

anaweza akapata, maana hapo ana point 6 bt inategemea cuz cut off ya jamaa uwa 7 hadi 9
 
Nimesoma CBA na nimepata div 2 ya 10..
Je naweza kupata chanc muhimbil kwa faculty ya MD.?

HELP WILL BE APPRECIATED

cha muhimu uwa nadhani ni principal ya biology or physics/chemistry,
kama point zimekaa vizuri md unaweza pata.
 
Akhsanten wakuu wote kwa opinion zent...
Elim ya bongo bhana..it hurts xo much mtu una dream ya kusoma kitu flan badly bt due to som restrctn unashndwa..
 
Back
Top Bottom