Epicauta elbovitata
Senior Member
- Mar 19, 2012
- 143
- 19
mkuu nenda imtu
asante kwa swali la nyongeza.hiki chuo kina majengo mazuri sana na kinachukua mtu yoyote mwenye uwezo wa kulipiavp icho kiko fresh mkubwa na je loan uhakika.?
asante kwa swali la nyongeza.hiki chuo kina majengo mazuri sana na kinachukua mtu yoyote mwenye uwezo wa kulipia
Kuna dogo ana pts 11, amepata B ya biology na D ya chemistry, anaitaka md sana, vp muhimbili au udom atapata?Muhimbili kozi zote kasoro environmental science degree wanachukua only PCB.
Kuna dogo ana pts 11, amepata B ya biology na D ya chemistry, anaitaka md sana, vp muhimbili au udom atapata?
Nimesoma CBA na nimepata div 2 ya 10..
Je naweza kupata chanc muhimbil kwa faculty ya MD.?
HELP WILL BE APPRECIATED