makolola JF-Expert Member Joined Sep 15, 2014 Posts 765 Reaction score 289 Jul 4, 2015 #1 Kutokana na uchumi kubana sana ni biashara gani ambayo inalipa kwa mtaji wa chini ya milioni moja?
Logikos JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 15,460 Reaction score 24,233 Jul 4, 2015 #2 Inayolipa sana kama ni rahisi na wengi wakifanya haitalipa tena ... inabidi utumie knowledge au service yako iwe bora kuliko wengine. Biashara inategemea mahitaji ya sehemu ulipo ni zile zile usual suspects uchuuzi, ukulima na ufugaji unless una knowledge fulani ufanye consultancy
Inayolipa sana kama ni rahisi na wengi wakifanya haitalipa tena ... inabidi utumie knowledge au service yako iwe bora kuliko wengine. Biashara inategemea mahitaji ya sehemu ulipo ni zile zile usual suspects uchuuzi, ukulima na ufugaji unless una knowledge fulani ufanye consultancy
Logikos JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 15,460 Reaction score 24,233 Jul 4, 2015 #3 By the way kutokana na uchumi kubana na pesa kushuka hii ndio fursa ya kuuza nje kwa faida maradufu issue ni kupata tu hicho cha kuuza nje
By the way kutokana na uchumi kubana na pesa kushuka hii ndio fursa ya kuuza nje kwa faida maradufu issue ni kupata tu hicho cha kuuza nje
makolola JF-Expert Member Joined Sep 15, 2014 Posts 765 Reaction score 289 Jul 4, 2015 Thread starter #4 KeyserSoze said: By the way kutokana na uchumi kubana na pesa kushuka hii ndio fursa ya kuuza nje kwa faida maradufu issue ni kupata tu hicho cha kuuza nje Click to expand... unaweza nishauri biashara za kuuza nje?
KeyserSoze said: By the way kutokana na uchumi kubana na pesa kushuka hii ndio fursa ya kuuza nje kwa faida maradufu issue ni kupata tu hicho cha kuuza nje Click to expand... unaweza nishauri biashara za kuuza nje?