Inayolipa sana kama ni rahisi na wengi wakifanya haitalipa tena ... inabidi utumie knowledge au service yako iwe bora kuliko wengine.
Biashara inategemea mahitaji ya sehemu ulipo ni zile zile usual suspects uchuuzi, ukulima na ufugaji unless una knowledge fulani ufanye consultancy