Sema tu, unakuja kujisifia na matokeo yako ya BRN hapa. Hawa watoto imekuwa nongwa.
Wadau inawezekana kusoma programme ya PROJECT PLANNING MANAGEMENT AND COMMUNITY DEVELOPMENT pale UDOM kwa matokeo ya dv2 ya pnt 8: g/s-C, Hist-B+, geog-B, Kisw-B. ? Msaada tafadhar
hesabu ulipataje O-LEVEL....labda tuanzie hapo
o'level maths-D
Wadau inawezekana kusoma programme ya PROJECT PLANNING MANAGEMENT AND COMMUNITY DEVELOPMENT pale UDOM kwa matokeo ya dv2 ya pnt 8: g/s-C, Hist-B+, geog-B, Kisw-B. ? Msaada tafadhar
UCLAS panakufaa sana wewe, unakaribishwa. Baada ya miaka miwili wewe unapiga project za kufaa mtu, ajira nje nje ila degreee za hapa ni miaka minne. Kwahiyo zinaogopwa sana.