Ndugu wanajamvi za mida hii? Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja, Binafsi kama mtanzania sioni haja ya kupepesa macho wala kuwa mnafiki kwa kile kinachoonekana kwa macho kabisaa, Nimejaribu kufuatilia mwenendo mzima wa harakati za kisiasa za hapa nchini lakini nimegundua kwamba kwa sasa tusidanganyane Hakuna mgombea MAKINI kama Mhe. JPM, labda kwanini nasema hivyo?
Fuatilia hoja zifuatazo:
1. Magufuli anaonekana amefanya maandalizi ya kuwa mgombea wa kiti cha Urais kuliko wagombea wa vyama vingine, maana wagombea wa vyama vingine wanaonekana kama vile walishtukizwa kwenye suala la kugombea Urais na hivyo hawajajipanga hata kisera na Kihotuba.
Nimekuwa nikisikiliza na kufuatilia hotuba za wagombea wote lakini nashindwa kupata CONTENT katika hotuba za wagombea wa vyama vya mlengo wa pili, mfano wanashindwa kutuambia watafanya NINI KIPYA, Lakini nadhani ni kwa sababu karibu yote MAGUFULI kayafanya mfano tulitaka tupate Rais anayeweza kupambana na mafisadi na uzembe wowote bila kumuonea mtu yeyote haya ata awe nani.
Tulitaka tumpate kiongozi asiyependa kusafiri safiri na sasa tumempata, Tulitaka tumpate kiongozi asiyechekacheka na wazembe na sasa tunaye, Tulitaka tumpate kiongozi wa kuwajali wananchi na sasa tumempata, Tulitaka tumpate Rais anayelinda RASILIMALI za umma kama madini n.k kwa maslahi ya watu wa Tanzania, na sasa tumempata. Na mambo mengi ya kimaendeleo yamefanyika hivyo wamejikuta hawana jipyaaaaa zaidi ya kumung'unya maneno tu.
2. Fuatilia mpangilio wa Ilani za vyama vyao ukizipata ; zinaonekana zinakosa mashiko zaidi kisera kwa umma kwa sababu zinashindwa kujinasibu au kujiuza vizuri kwa wananchi maana hazina mambo mapya ambayo yataweza kuipa changamoto ilani na sera za chama tawala yani kwa vile mambo mengi yametekelezwa na yanatekelezwa tayari na chama tawala. Hivyo wajaribu kuja kivingine ili waonekane wana jipya ambalo litafanya walete changamoto kwa chama tawala lakini kwa hali ya sasa wakajipange sana.
MAGUFULI ATABAKI BABA LAO