Kwa hali hii ya reli ya Mombasa-Nairobi jiandaeni kupokea wakimbizi toka Tz..

mkitumia akili kufikiria, hutamwona hata mkenya mmoja anatoa povu ovyo hapa...il nimewagundua, mkishindwa hoja zote, mnaanza mambo kama haya...
Msemaji wa wakenya bongolala. Very stupid
 
Huu uzi tuuite 'UTANI' la sivyo tutaishia pabaya...............Haya tuendelee na utani.
Mi sioni miguu na chura
 
Lol the fact that most people think this are Ethiopian makes me wonder what type of girls wako TZ kama hawa wakikuyu mnadhani wa ET sasa mkiona wasomali Nairobi mtafanya nn?
 
Du sio kW mironjo hyo.Watoto wa kike mironjo kama wakimbia Marathon? Tazama hata pa kushika hakuna pia
 
makende wewe....peleka ujinga jukwaa la tz..maskini wa tandale...umeona nimeandika wao ndio top models?
He he heee, we jamaa kwa povu tu hujambo! Sijui kama huwa unajua hata kuna kitu kinaitwa utani! Maana huwa naona unatukana tu hata hoja za vichekesho kama hii!

Hii thread ipo ki ubuyu ubuyu tu, so ielewe!

Nakushauri uwe unapita pita jukwaa la Chit chat walau utazoea utani[emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Somebody should not talk about our first lady here!! Where is the first lady of Tanzania??

Look at Kenya's first lady!! One of a Kind and the envy of many!

We love her with all our hearts!

No one should dare talk any kind of nonsense about her!! Professional sportive and quite an entertainer!!










She was in Kigali for peace Maradhon! Where was the one from Tanzania?




With 1st Lady for Rwanda


 
huwa mkona ujinga sana! mkikosa hoja ya kudebate na wakenya huwa mnaleta upuuzi kama huu hapa JF...hawa waresh nini wa wapi?

Asilimia kubwa ya Wakenya ni weusi tii kama dada na mama yako, mbona hapo hatuwaoni?
 
nundu ya wolper[emoji3] [emoji109] [emoji109]
 
sisi wa kwetu kwa sababu za kiusalama hiwezi kumkuta anazurura ovyo.. haaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…