Kwa hali hii ya reli ya Mombasa-Nairobi jiandaeni kupokea wakimbizi toka Tz..

Asilimia kubwa ya Wakenya ni weusi tii kama dada na mama yako, mbona hapo hatuwaoni?

sisi ni waafrika mkuu, mbona una insinuate kuwa mweusi ni jambo baya? Lets embrace our skins bruh, we have been persecuted as a race for far too long and it's disheartening to see Africans hating on the same pigment that Caucasians, Asians and Arabs see as dirty and poor. Tujipende aise
 
huwa mkona ujinga sana! mkikosa hoja ya kudebate na wakenya huwa mnaleta upuuzi kama huu hapa JF...hawa waresh nini wa wapi?
Kwa hiyo, huko Kenya hakuna hata kigori mmoja mwenye nywele zake mwenyewe, ni mwendo wa nywele za marehemu kwenda mbele?

Na huyu wa mwisho miguu imekomaa sana, kama ng'ombe wa ankole
 
Kenya ingelikuwa na wanawake warembo usingeona majivyama ya kutetea wanaume wanaotandikwa makofi na wake zao, maana warembo hawapigi waume zao.
 

Nadhani hujanielewa, sijasema kuwa weusi ni wabaya. Namnanga huyo aliyepost picha kuwa kwa nini ameweka watu wa 'brown' tu kama reference kwenye nchi ya watu wengi weusi.
 
Nadhani hujanielewa, sijasema kuwa weusi ni wabaya. Namnanga huyo aliyepost picha kuwa kwa nini ameweka watu wa 'brown' tu kama reference kwenye nchi ya watu wengi weusi.

fiti nimekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…