Kwa hali ilipofika COVID -19 Turejee katika mafunzo ya Misemo yetu

Kwa hali ilipofika COVID -19 Turejee katika mafunzo ya Misemo yetu

dega

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2012
Posts
3,172
Reaction score
3,082
1. Asosikia la Mkuu huvunjika guu

2. Ujanja mwingi mbele kiza

3. Mkataa pema pabaya pana mwita

4. Asiyefunzwa na ***** hufunzwa na ulimengu

5. Mtaka nyingi nasaba hupata mwingi MSIBA

6. Mchuma janga hula na wakwao

7. Mpanda farasi wa wili huchanika msamba

8. Tamaa mbele mauti nyuma

9. Sikio la kufa halisikii dawa

10. Lakuvunda halina ubani

Twende kazi huenda pakapatikana mafunzo kwa wakaidi.............

Endelea muhimu usitoke nje ya mada

11--

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani jiwe haelewi kitu, wapi wale wataalam wa Luangwa waliopiga bomu Hadi mshikaji akaona mioshi ya rangi 72 na kukimbilia mafichoni kwa siku kadhaa?
 
Back
Top Bottom