dega JF-Expert Member Joined Dec 18, 2012 Posts 3,172 Reaction score 3,082 May 1, 2020 #1 1. Asosikia la Mkuu huvunjika guu 2. Ujanja mwingi mbele kiza 3. Mkataa pema pabaya pana mwita 4. Asiyefunzwa na ***** hufunzwa na ulimengu 5. Mtaka nyingi nasaba hupata mwingi MSIBA 6. Mchuma janga hula na wakwao 7. Mpanda farasi wa wili huchanika msamba 8. Tamaa mbele mauti nyuma 9. Sikio la kufa halisikii dawa 10. Lakuvunda halina ubani Twende kazi huenda pakapatikana mafunzo kwa wakaidi............. Endelea muhimu usitoke nje ya mada 11-- Sent using Jamii Forums mobile app
1. Asosikia la Mkuu huvunjika guu 2. Ujanja mwingi mbele kiza 3. Mkataa pema pabaya pana mwita 4. Asiyefunzwa na ***** hufunzwa na ulimengu 5. Mtaka nyingi nasaba hupata mwingi MSIBA 6. Mchuma janga hula na wakwao 7. Mpanda farasi wa wili huchanika msamba 8. Tamaa mbele mauti nyuma 9. Sikio la kufa halisikii dawa 10. Lakuvunda halina ubani Twende kazi huenda pakapatikana mafunzo kwa wakaidi............. Endelea muhimu usitoke nje ya mada 11-- Sent using Jamii Forums mobile app
bluetooth JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 4,402 Reaction score 2,550 May 1, 2020 #2 Kama ni mbwai acha iwe mbwai
J jabulani JF-Expert Member Joined Aug 1, 2015 Posts 5,547 Reaction score 11,704 May 1, 2020 #3 mwenye vitisho sana huwa ni muoga.
harder king JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 3,970 Reaction score 6,907 May 1, 2020 #4 Mbwa muoga hubwekea kwao Kama naniliii Sent using Jamii Forums mobile app
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 May 1, 2020 #5 Jamani jiwe haelewi kitu, wapi wale wataalam wa Luangwa waliopiga bomu Hadi mshikaji akaona mioshi ya rangi 72 na kukimbilia mafichoni kwa siku kadhaa?
Jamani jiwe haelewi kitu, wapi wale wataalam wa Luangwa waliopiga bomu Hadi mshikaji akaona mioshi ya rangi 72 na kukimbilia mafichoni kwa siku kadhaa?