Tetesi: Kwa Hali Ilivyo, Ipo Siku Hata Slow-Slow Naye Atahamia CHADEMA

Tetesi: Kwa Hali Ilivyo, Ipo Siku Hata Slow-Slow Naye Atahamia CHADEMA

CHA The GREAT

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2010
Posts
651
Reaction score
854
Every time when I take a look at my crystal-ball, namuona Slow-Slow, kada mfia chama akihamia CHADEMA, na namuona akisema.........'kule CCM ni genge la wachumia tumbo. Watu wasiojali sauti za wanyonge, kwa kubaini hayo nimeamua kuja huku kwenye demokrasia ya kweli'....

Baadaye tena utasikia karudi CCM.

Jamani, tuwe makini na hawa wanaohamahama vyama utafikiri wanahama guest house kuepuka kufumaniwa. Tuishi nao kwa upendo ila tusiwaamini hata kidogo. Na uanzishwe utaratibu wa kuwa-screen, wasipewe nafasi ndani ya chama muda mfupi tangu wao kusajiliwa. Tumkumbuke, somebody Said Nkumba alikuwa mbunge wa Sikonge. Yule jamaa alipopigwa chini kura za maoni ndani ya CCM kwenye uchaguzi wa mwaka 2015, ilimlazimu kuhamia CHADEMA akiamini ndani y CHADEMA atapewa nafasi kupeperusha bendera ili agombee ubunge. Kwa bahati nzuri, CHADEMA hawakumpa nfasi hiyo. Baada ya muda mfupi toka anyimwe nafasi hiyo na CHADEMA, eti akarudi tena CCM.

Kinga ni bora kuliko tiba.
 
Back
Top Bottom