only83
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 5,343
- 2,527
Nimejaribu kufatilia Kill Music Awards through ITV..........Kwa niliyoyaona nawauliza watanzania bado tunayahitaji hizi awards
- Udhaifu kwa watoaji wa tuzo mfano Nsajigwa alishindwa hata kusoma bahasha
- Mshehereshaji wa kike alikuwa anajikanyaga mara kwa mara..
- Watoaji wa tuzo kutokuwa serious yaani ni upupu tu.....
- Waandishi wa habari na wasanii na wapambe wao kulivamia jukwaa nk