Kwa hali ilivyo ni dhahiri Boniface Jacob atashidwa vibaya sana kwa fedheha uchaguzi wa CHADEMA kanda ya Pwani

Ya ngoswe muachie ngoswe
 
muungwana kavunja kanuni na taratibu za uchaguzi mapema zaidi hata kabla ya uchaguzi. Lakini zaidi ya yote ni rushwa, jamaaa kamwaga mkwanja my friend...
Kuna zile Bajaji zilizoandikwa 2025 huoni hapo tayari kuna mazingira ya rushwa ambayo yako waziwazi? Halafu ukisema Boni kamwaga mkwanja nje nje una ushahidi wowote ule ? Jana tumemsindikiza kurudisha fomu hata mia 500 ya maji hatukupewa unachokiandika hapa ni uongo mtupu bila hata aibu. Rushwa ya waziwazi ni zile bajaji zenye thamani ya 54 Bilion, na hapo hapo hazikuwa na ulazima hiyo pesa ingeelekezwa hata kwenye masuala ya afya ingesaidia sana. Punguza upotoshaji wewe
 
mim sijamzuia wala kumuhujumu mtu yeyote hasa vijana kutimiza ndoto na matarajio yao ya kisiasa..

Infact mimi ndie hushauri mtaalamu wa kisiasa wa namna bora na mbinu muafaka kwa vijana kukua vizuri kisiasa na kushamiri zaidi kadiri ya muda unavyosonga songa...

Lakini muhimu zaidi, mimi ni mwanadiplomasia muandamiz mbobevu katika siasa za vyama kitaifa na kimataifa, siwezi kubalance au kua upande Fulani ispokua nabainisha current political issues kadiri ya matokeo ya tafiti ninazofanya. so , suala la upendeleo haliko kwangu....

kujibu ama kutokujibu ni uhuru, haki na uamuzi wa members yeyote wa JF, na tena kukuelimisha zaidi kuna sehemu mpaka ya kubloc na kuignore kabisa 🀣

lakini hiyo hainizuii mimi kueleza kibobevu masula muhimu sana ya kisiasa humu nchini kadiri yanavyotokea, right πŸ’
 
kaa kwa utulivu, fuatilia uchambuzi maelezo na ufafanuzi wa kina wa kitaalamu kutoka kwa mbobevu wa masula hayo humu humu nitayabainisha kadiri niniapo pata fursa ya kufanya hivyo πŸ’
Huna uchambuzi wowote weww ni mweupe tu, kuna siku nimekupiga spana humu mpaka ukaanza kunitishia weww ni ofisa wa serikali. Utajua haujui. Mwache Kamanda Boni atimize ndoto zake kuthubutu ni kutenda.
 
tulikua pamoja gentleman 🀣

lakini plz plz gentleman,
stick to the motion hayo mengine yasiyohusu hoja mahususi mezani ni vyema ukaandikia bandiko ili tuone namna bora ya kueleza...

but,
back to the point,
maelezo na uchambuzi wangu kwa kina kirefu nimeyabainisha kwenye hoja yangu ya msingi, na for your information Boniface Jacob jina lake linaweza lisiwe shortlisted baada ya vikao vya maamuzi kulingana na miiko, kanuni, sheria na katiba ya chama πŸ’
 
Huna uchambuzi wowote weww ni mweupe tu, kuna siku nimekupiga spana humu mpaka ukaanza kunitishia weww ni ofisa wa serikali. Utajua haujui. Mwache Kamanda Boni atimize ndoto zake kuthubutu ni kutenda.
kwahivyo ulivyo kuja na spana ukakuta nati zimefungwa vizuri na ukwakwama kuifungua?🀣

actually,
mimi ni mtaalamu lakini pia ni mtumishi mwandamizi wa wananchi, kwahiyo siwezi kuthubutu kumtisha mtu wala walau kumrubuni kwa namna yoyote ile, ispokua kubainisha masuala mbalimbali ya maendeleo kisiasa, kitaifa na kimataifa,

ila kuhusu Boniface Jacob hiyo ndiyo hali halisi mpaka sasa πŸ’
 
Narudi na upembuzi juu ya hili andiko lako takataka.

Aisee kila nilisoma maandiko yako napata wasi wasi kama unaakili timamu Au unajichetua.
usiwe na wasiwasi gentleman,

Boniface Jacob mwenyewe amesha sense kushindwa vibaya,

anadai eti hata akishindwa hawezi kuhama chadema, ni kama msigwa tu alivyoanzaga 🀣

and politically speaking,
that is confirmation of a conceding defeat πŸ’
 
If so, itakuwa utabiri wako umetimia sioni haja ya wewe kuwa unafanya personal attack kwa wanasiasa ambao ni wapinzani tena in a negative way hapo ndio nakuona umedumaa kifkra, Halafu ni Chadema tu sio CUF wala ACT au vyama vingine vya upinzani
 
ila kuhusu Boniface Jacob hiyo ndiyo hali halisi mpaka sasa πŸ’
Kushindwa au kufanikiwa kwa jambo lolote ni matokeo wala usiumie wala kuongea shombo weww tulia na hayo matokeo hayamfanyi mtu kishindwa kuendelea na shughuli zake iwe za Kisiasa au kijamii
 
Hujajibu maswali yangu ya msingi zaidi ya porojo,nimekuuliza Boniface uliokua unawazungumzia ni wawili tofauti? Au ni huyu mmoja

Erythrocyte
mbona umemtag mwandani wa mgombea boniyai aliekiri mbele ya umma huu kwamba anamkubali huyo muungwana anazijua fitna za uchaguzi Chadema vizuri sana,

halafu baadae akamposti shekhe moja hivi kua nae amejitosa kugombea nafasi hiyo ya ubosi kanda ya pwani bila kumuelezea zaid..


kisiasa hiyo ni hadaa kwa wagombea wasio maarufu na ni kampeni zisizo faa kwenye uchaguzi πŸ’
 
Wa chama cha Tawala Bhanaaa sio Wananchi maana Mwananchi mwenye itikadi iliyo kinyume na Chama tawala kwako ni adui
 
Wa chama cha Tawala Bhanaaa sio Wananchi maana Mwananchi mwenye itikadi iliyo kinyume na Chama tawala kwako ni adui
plz plz gentleman,
usinilishe maneno tafadhali.
kuhusu habari ya ati mimi ni wa chama gani ibaki tu maoni na mitazamo huru wa wadau

lakini kitaalamu,
binafsi naendelea kua mwanachama mtiifu kindakindaki wa ukweli na mchambuzi maridhawa wa siasa za vya vya siasa nchini kitaifa na kimataifa...

kuna somo muhimu sana la kujifunza uchaguzi wa Chadema kanda ya Pwani, tufuatilie kwa pamoja uchaguzi huu muhimu ambao ni darasa baina ya fitina, majivuno , rushwa na hoja πŸ’
 
Tlaa kwani wanaopiga kura ni ccm au cdm? kama ni cdm lzm huyu bwana ashinde,uwe na siku njema.
una maoni na mtazamo mzuri kumtakia mwingine Baraka..

but ukweli ni kwamba mambo imebadilika kidogo na mwenye ame sense kushindwa, nadhan umeskia kauli ya mtu wa kushindwa kabla ya uchaguzi...

anadai eti hata akishindwa hawezi kuhama chadema, huo ni uthibitisho kwamba tayari ameshindwa kama tu ilivyokua kwa mchungaji msigwa πŸ’
 
Huna uchambuzi wowote weww ni mweupe tu, kuna siku nimekupiga spana humu mpaka ukaanza kunitishia weww ni ofisa wa serikali. Utajua haujui. Mwache Kamanda Boni atimize ndoto zake kuthubutu ni kutenda.
Afu ukimbananisha kwenye 18 anacheka Cheka tuu.Sijui ni kifaa cha mshale jamaa.
Hana hoja kabisa mwepesiii
 
Jibu Swali,wanaokutuma wanaangalia ulivyo mwepesi kukimbia hoja.
 
UVCCM wanahangaika na CHADEMA ambayo ni SACCOS na imekufa.
 
Kushindwa au kufanikiwa kwa jambo lolote ni matokeo wala usiumie wala kuongea shombo weww tulia na hayo matokeo hayamfanyi mtu kishindwa kuendelea na shughuli zake iwe za Kisiasa au kijamii
hapo sasa ukiacha hiyo maneno ingine mbofumbofu hapo kati,

ndio unazungumzia maisha halisi ya kidemokrasia yanapaswa kua ila ni Lazima yasiambatane na rushwa, kiburi au majivuno πŸ’

ukishinda uchaguzi unashukuru maisha yanasonga, na ukishindwa uchaguzi pia unashukuru unanipanga kwa siku ingine lakini maisha yanasonga vile vile πŸ‘ŠπŸ’ͺ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…