Kwa hali ilivyo sheria irekebishwe ili kibali cha maandamano kiombwe mahakamani

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
Maandamano ni stahiki iliyowekwa na katiba na mara nyingi yanakuwa dhidi ya watawala. Kwa mantiki hiyo napendekeza sheria ibadilishwe ili yeyote anayetaka kuandamana afungue kesi mahakamani dhidi ya watawala akiishawishi kupata kibali cha kuandamana
 
Kwa mahakama zipi ?

Hizi zinye kumaliza kesi ya kuchoma makaratasi within a week na kuacha wizi rushwa kesi za kubambikiana zikichukua miaka zaidi ya 5 au zipi Mkuu!
 
Maandamano ni stahiki iliyowekwa na katiba na mara nyingi yanakuwa dhidi ya watawala. Kwa mantiki hiyo napendekeza sheria ibadilishwe ili yeyote anayetaka kuandamana afungue kesi mahakamani dhidi ya watawala akiishawishi kupata kibali cha kuandamana
Polisi sio kibali ni taarifa TU saa 48! Magu na ukichaa wake akavunja katiba! Jinga sana lile!
 
Hizi mahakama ambazo hazina tofauti na UWT?
 
Polisi sio kibali ni taarifa TU saa 48! Magu na ukichaa wake akavunja katiba! Jinga sana lile!
Kwa mjibu wa sheria na inawapa wajibu polisi wa kufanya; mie nimependekeza sheria ibadilishwe, taarifa na namna maandanamo yatakavyofanyika ipitie mahakamni kwa mfumo wa kesi
 
Back
Top Bottom