Kwa mahakama zipi ?Maandamano ni stahiki iliyowekwa na katiba na mara nyingi yanakuwa dhidi ya watawala. Kwa mantiki hiyo napendekeza sheria ibadilishwe ili yeyote anayetaka kuandamana afungue kesi mahakamani dhidi ya watawala akiishawishi kupata kibali cha kuandamana
Polisi sio kibali ni taarifa TU saa 48! Magu na ukichaa wake akavunja katiba! Jinga sana lile!Maandamano ni stahiki iliyowekwa na katiba na mara nyingi yanakuwa dhidi ya watawala. Kwa mantiki hiyo napendekeza sheria ibadilishwe ili yeyote anayetaka kuandamana afungue kesi mahakamani dhidi ya watawala akiishawishi kupata kibali cha kuandamana
Hizi mahakama ambazo hazina tofauti na UWT?Maandamano ni stahiki iliyowekwa na katiba na mara nyingi yanakuwa dhidi ya watawala. Kwa mantiki hiyo napendekeza sheria ibadilishwe ili yeyote anayetaka kuandamana afungue kesi mahakamani dhidi ya watawala akiishawishi kupata kibali cha kuandamana
Kwa mjibu wa sheria na inawapa wajibu polisi wa kufanya; mie nimependekeza sheria ibadilishwe, taarifa na namna maandanamo yatakavyofanyika ipitie mahakamni kwa mfumo wa kesiPolisi sio kibali ni taarifa TU saa 48! Magu na ukichaa wake akavunja katiba! Jinga sana lile!