Pre GE2025 Kwa hali na kauli za mzee wasira kuna kila dalili " kurudishwa kundini bwana bashiru" the ghang

Pre GE2025 Kwa hali na kauli za mzee wasira kuna kila dalili " kurudishwa kundini bwana bashiru" the ghang

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mama Edina

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2022
Posts
850
Reaction score
2,019
Wasira anadhihirisha dhahiri 80 years old man can not think and he is mentally tired.

Kama vijana kama Christian wakipewa nafasi wanakosa chembe ya hikima kwenye brain wasira anakila dalili kukichoma moto chama cha Mapinduzi.

Hii ni ishara kwamb Sukuma gang bwana Bashir akahitajika.

Kiufupi vijana wengi ni empty completely brain drain empty headed...mtu kama mchemba. Pale wazarani akisoma notes na kuanzisha tax za kuwaumiza watu. Christian wakijilimbikizia mali na kufanya totalitarian ubabe ni ishara tukufu nchi imeishiwa think-tank na badala yake kumtumia wasira.

Ukiwaangalia kina aweso unaona nchi ya wanunua private jet baada ya 20 years. Nchi imenishiwa watu wenye maadili. Aweso kwa mfano dsm yenyewe Inalia na huduma ya maji nchi ataiweza. Tumshukuru samia ila ana vijana wa hovyo

Soma: Pre GE2025 - Stephen Wasira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara

Soma: Pre GE2025 - Wasira atupa vijembe kwa Chadema, adai wakienda ikulu watagawana hadi vikombe
 
Kiufupi vijana wengi ni empty completely brain drain empty headed...mtu kama mchemba. Pale wazarani akisoma notes na kuanzisha tax za kuwaumiza watu. Christian wakijilimbikizia mali na kufanya totalitarian ubabe ni ishara tukufu nchi imeishiwa think-tank na badala yake kumtumia wasira.
Huyo si alimnanga #1 kule Mviwata Morogoro!
 
Watu wengine walikuwa wanatakiwa wawe Jela kwa uhaini.
 
Hawajielewi hawa...
Ccm kuna vijana wengi machachari na wenye Impact kama kina Bashe, Jerry Slaa, Makonda n.k lakini hawapewi kipaumbele. Mnang'ang'ania kwenda kutafuta wazee wastaafu wanaohitaji kupumzika.
 
Back
Top Bottom