Kwa hali nayoiona kuna kila dalili za mama yupo mpaka 2035, Sioni kabisa wa kupinga kamati kuu ya CCM

nguvu ya buku

Senior Member
Joined
Jul 15, 2025
Posts
168
Reaction score
549
Awamu hii ya sasa watasema haikuwa awamu yake,

Muhula wa kwanza 2025 - 2030

Muhula wa pili 2030 - 2035

Kuna wa kupinga Kamati kuu ya Ccm ? NO, HAKUNA !!
 
Akitoboa mpk hyo 2030 tu ,atakuwa anatembelea mkongojo HAKI vile tenaa😁

Simuoni akifika hata hyo 2030 n tamaa tu analetaa ya madaraka..
 
Awamu hii ya sasa watasema haikuwa awamu yake,

Muhula wa kwanza 2025 - 2030

Muhula wa pili 2030 - 2035

Kuna wa kupinga Kamati kuu ya Ccm ? NO, HAKUNA !!
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…