LIFE PAIN GAIN
Member
- Oct 25, 2021
- 98
- 98
Fafanua kidogo hustler..karibuKatoro
Lets say una 30m na unataka hardware ndogo uanze nayo..unge ingilia wapi...?Inategemea na nature ya biashara unayotaka kufanya na mtaji mkuu
Lets say una 30m na unataka hardware ndogo uanze nayo..unge ingilia wapi...?
Uko sahihiInategemea na nature ya biashara unayotaka kufanya na mtaji mkuu
Kuivest nini? Au zile Investment zetu za Wabongo? Car wash, Frame, Guest House, Lodge, Nyumba za kupangisha, Duka la Vipodozi, Saluni, Duka la nguo za kike, Stationary, Duka la Dawa, Mgahawa, PubYes wakuu,
Ni mwaka mwingine huooo, its always about kupambana na maisha na kutafuta ugali pale palipo na unga mwingi.
Chagua mwenyewe hapa 👇Yes wakuu,
Ni mwaka mwingine huooo, its always about kupambana na maisha na kutafuta ugali pale palipo na unga mwingi.
Naongelea penye kasi kubwa ya ukuaji, nguvu ya manunuzi inayoongezeka maradufu na mzunguko wa pesa unao impress.
Recently hii miji imetajwa inayokuwa kwa kasi..Dom, Katoro, Mafinga, Njombe, Kahama. Vp wewe ungeangukia wapi palipo na unga mwingi wa kukupa ugali?
Karibuni
Ukiwa interested zaidi na posta nikupe frame yangu opposite na city mall kabisa ata leo ulipie uanze biashara.Salam wadau wa JF
Kwa wenye uzoefu wa kupanga Frame hapa Dar Es salam, bei za kupanga kwa maeneo yafuatayo :-
Mwenge
Tegeta
Bunju
Ubungo
Buguruni
Sinza
NB: Nitafurahi kama nitapata bei za kupanga Mkabala na barabara au umbali kidogo (200m toka barabarani)
Ahsante
Iko mtaa ganiUkiwa interested zaidi na posta nikupe frame yangu opposite na city mall kabisa ata leo ulipie uanze biashara.