Kwa hapa Dar napata wapi Sound Bars za JBL

Kwa hapa Dar napata wapi Sound Bars za JBL

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Habari wakuu.

Naomba kufahamu kwa hapa Dar napata wapi Sound Bars za viwango za kampuni ya JBL.

Nimejaribu Mlimani city ila nikakuta wana options chache. Naomba kujua dedicated shop ya sound bars za JBL.

Ahsante sana.
 
Mlimani city duka la Sony utapata hadi earbugs za jbl na music system
 
Back
Top Bottom