Kwa hapa Uhuru nakupa heko, JPM should learn something

To hell with your fallacies. You know nothing. Those grass houses scattered all over tz which are occupied by faeces consumers define poverty.
ma'am this should be condemned by we international people, Chinese are manipulating you at a very cheap price, they will now calling you baboons and you won't kick them off because this time they have live evidence.
 
Huko we are done
Now tupo with new standards at their earliest momentum

Badala unisifie vile mnafanya Surgeries na ground breaking research unanisifia mashini ambayo mmenunua mwaka huu, mashini ambayo inaweza kufanya kazi bila stima..... Je kama huku kwetu kuna mashini zengine ambazo hutumia stima??



Anyway, mashini kama hizo ziko Kenya tangu 2012, infact University of Nairobi ilifanya research study kuhusu performance na impact ya hizo mashini na walikua wanajaribu kuona performance yake ili kuamua kama zinunuliwe kwa wingi kwa hospitali zote Kenya zinazofanya upasuaji..



http://erepository.uonbi.ac.ke/handle/11295/66019

EVALUATION OF THE UNIVERSAL ANAESTHESIA MACHINE IN THREE HOSPITALS IN KENYA: KENYATTA NATIONAL HOSPITAL LEVEL 6, THIKA DISTRICT HOSPITAL LEVEL 5 AND KIAMBU DISTRICT HOSPITAL LEVEL 4

Objective

To validate the UAM for use in Kenya through determination of its efficiency, versatility, and cost effectiveness in both referral and district hospitals.
Methodology
A non randomized, observational, prospective and multicentre study. General Anaesthesia using UAM in adults and children was employed for emergency and elective procedures – and also the volume of Halothane used per patient was measured at the end
of each procedure.
Results
Presented are results of 95 patients in an ongoing study of 800 patients expected to be completed by end of 2013.
Of these patients 21 were children aged 2 months to 15 years. Most procedures were emergency lasting between
10 minutes to 2 hours. The most common procedure in adults was caesarean section and adenoidectomy in children in these series. Other procedures included were thyroidectomy, mastectomy, gasterectomy, Hermiorrhaphy, Hysterectomy and Orchidopexy. Most anaesthesia providers used oxygen and halothane in the gas mixture and a few used nitrous oxide. The Ayre’s T Piece was used in a few paediatric patients. Volume of Halothane used ranged between 4mls – 50 mls
Conclusions
The UAM was found to be safe, and versatile in Kenya as indicated by other studies (3,4). It was however noted
that it is difficult to ventilate obese patients manually with the bellows as experienced with a 160 kg patient undergoing repair of epigastric hernia. The challenges encountered during this study included a late start due to delay in ethical approval
and doctors and nurses strike in Kenya during November and December in 2012.
 
Mtaishia kufanya studies lakini hamuwezi kuzinunua, hamna pesa nchi yenu imefilisika. Haya mambo ya well equipped Government Hospitals ni Tanzania pekee ndio inaweza, only Agha Khan and Nairobi Hospitals can compete with Tanzania Public Hospitals.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sometimes I wonder kama hua watanzania mko na uwezo wa kusoma, kichwa cha hio study kinasema EVALUATION OF THE UNIVERSAL ANAESTHESIA MACHINE IN THREE HOSPITALS IN KENYA: KENYATTA NATIONAL HOSPITAL LEVEL 6, THIKA DISTRICT HOSPITAL LEVEL 5 AND KIAMBU DISTRICT HOSPITAL LEVEL 4......

Kwa methodology inasema .....
General Anaesthesia using UAM in adults and children was employed for emergency and elective procedures – and also the volume of Halothane used per patient was measured at the end
of each procedure.

Kwenye conclusion inasema .... The UAM was found to be safe, and versatile in Kenya


-------------------------------------------------------


Alafu jimtu baada ya kusoma hayo yote anashindwa kuelewa kwamba hii research study ilifanywa kuangalia performance ya utumizi wa UAM ndani ya hospitali tatu za srekali Kenya mwaka wa 2012.... mtu kama wewe ujibiwe vipi kama hata kusoma na kuelewa ni shida!
 
To save my time from being wasted, show me the bolded and caps locked phrase "Universal Anaesthesia Machine(UAM).." in your reply.
 
Hivyo vifaa kavitembelee baada ya miaka 2 utakuta zaidi ya 60-70%vimeharibika
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona serikali yoyote duniani inajisifu kwa kujenga miundombinu, vituo vya afya, kusambaza maji na umeme, ujue ni serikali ya wajinga. Hayo yote ni wajibu wa serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio mjinga wa kutupwa kabisa. Sasa serikali ulitaka isifiwe au ijisifu kwa lipi. Tumia kichwa chako kuwaza usitumie hizo bambataa zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
To save my time from being wasted, show me the bolded and caps locked phrase "Universal Anaesthesia Machine(UAM).." in your reply.
You do have eyes don't ya! Unajisifia vitu ambavyo tumekua navyo kitambo....... Ushamba wa kusifia mashini badala ya kusifia kazi yake, anaesthesia hutumika kulaza magonjwa wakati anafanyiwa surgery...... Nisifie wingi/uweledi/uzoefu/umaarufu wa surgeries mnazofanya kutumia madaktari wenu ,usikuje hapa kusifia kamashini kamoja kapya mlio nunua juzi wakati tunajua ni maelfu ya watu wanahitaji upasuaji, mashini moja ni tone ndani ya bahari!
 
SMH hiyo Universal Anaesthesia Machine(UAM).

H
aijawahi kuwako ndio for the first time inazinduliwa anaesthesia machine yenye sifa za Universal Anaesthesia Machine(UAM).


T
ake your time to read what's the difference between normal anaesthesia machine and Universal Anaesthesia Machine(UAM).
 
Duh inaonekana hali imekua gumu Lumumba hadi labda mumebadilishiwa sheria kwamba mtalipwa kwa views hii inachangia kuanza kupotosha kwenye vichwa vya nyuzi ili mpate traffic.
 
We! Kwani akili imeruka au nini? Kwahivyo kwenye hio taarifa ya Kenya haikuona UAM ...... EVALUATION OF THE UNIVERSAL ANAESTHESIA MACHINE IN THREE HOSPITALS IN KENYA: ????

Kwenye hio link imeonyeshwa Hadi picha yake!!
 
Usihangaike nae. Mi nilianza kumuandikia reply nikaachia njiani, kwanini kujisumbua na watu wa hivyo?
 
Ukiona serikali yoyote duniani inajisifu kwa kujenga miundombinu, vituo vya afya, kusambaza maji na umeme, ujue ni serikali ya wajinga. Hayo yote ni wajibu wa serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji6]so inspaswa wapotezee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji41]umenurahisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
makueni county. kazi ya gavana sio rais



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…