erique JF-Expert Member Joined Apr 23, 2010 Posts 584 Reaction score 573 Aug 27, 2016 #1 Wapi alipo daktari mtaalam aliyebobea ambaye naweza kumuona kwa hapa Dar es Salaam kwaajili ya tatizo hili? Asanteni
Wapi alipo daktari mtaalam aliyebobea ambaye naweza kumuona kwa hapa Dar es Salaam kwaajili ya tatizo hili? Asanteni
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Aug 27, 2016 #2 Mtoto kaunguwa maji ya moto kama unayo Asali Safi ya nyuki mpaka sehemu aliyo unguwa kisha kamtafute huyo Mtaalam unaye unaye mtaka atapona kwa hiyo Asali tu.
Mtoto kaunguwa maji ya moto kama unayo Asali Safi ya nyuki mpaka sehemu aliyo unguwa kisha kamtafute huyo Mtaalam unaye unaye mtaka atapona kwa hiyo Asali tu.