Jambazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 16,648 Reaction score 18,742 Jan 9, 2020 #2 Sijaelewa, huyu mzungu kaingeuza hiyo ndege nyumba Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka Pekee JF-Expert Member Joined Apr 3, 2018 Posts 336 Reaction score 564 Jan 9, 2020 Thread starter #3 Jambazi said: Sijaelewa, huyu mzungu kaingeuza hiyo ndege nyumba Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kaka Jambazi, hiyo Ndio ilikuwa ndoto yake baada ya kustaafu achukue ndege na kuigeuza kuwa nyumba...na amefanikiwa.
Jambazi said: Sijaelewa, huyu mzungu kaingeuza hiyo ndege nyumba Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kaka Jambazi, hiyo Ndio ilikuwa ndoto yake baada ya kustaafu achukue ndege na kuigeuza kuwa nyumba...na amefanikiwa.
wakusoza JF-Expert Member Joined Sep 30, 2016 Posts 628 Reaction score 648 Jan 9, 2020 #4 Nawasihi...acheni bangi Sent using Jamii Forums mobile app
K KISIWAGA JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 8,022 Reaction score 16,563 Jan 9, 2020 #5 Ni kichaa peke yake anayeweza kung'ang'ania biashara yenye hasara
ANCIENT FROM EGYPT JF-Expert Member Joined Oct 24, 2015 Posts 927 Reaction score 1,136 Jan 9, 2020 #6 Kweli watu wanatiza ndoto zao
From Sir With Love JF-Expert Member Joined Sep 13, 2010 Posts 2,076 Reaction score 3,813 Jan 9, 2020 #7 Hapana ndugu, ndege imemgeuza kuwa kiota. Jambazi said: Sijaelewa, huyu mzungu kaingeuza hiyo ndege nyumba Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana ndugu, ndege imemgeuza kuwa kiota. Jambazi said: Sijaelewa, huyu mzungu kaingeuza hiyo ndege nyumba Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Drone Camera JF-Expert Member Joined Jul 25, 2017 Posts 14,041 Reaction score 13,907 Jan 9, 2020 #8 Kaka Pekee said: Kaka Jambazi, hiyo Ndio ilikuwa ndoto yake baada ya kustaafu achukue ndege na kuigeuza kuwa nyumba...na amefanikiwa. Click to expand... Ndege ipi hiyo
Kaka Pekee said: Kaka Jambazi, hiyo Ndio ilikuwa ndoto yake baada ya kustaafu achukue ndege na kuigeuza kuwa nyumba...na amefanikiwa. Click to expand... Ndege ipi hiyo