Kwa haya maneno ya makocha pande zote mbili kwa kweli Kama hujakata tiketi ni Bora ubaki nyumbani tu

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Robertinho (sambaroketo boy)

"Napenda kucheza mechi kubwa sana na kikosi changu nimekiandaa vizuri kwakweli napenda sana tena sana kucheza mechi kubwa Kama hizi."

Kocha wa Al ahly.

"Tumekuja kuvunja mwiko wa Simba sc kutofungwa nyumbani kwao maana mpira sio historia na historia zipo ili zivunjwe"

Kwa kauli Kama hizi kwa sisi watu wa mpira tushaelewa nini Al ahly watakifanya/ wataidharirisha Simba sc mbele ya mashabiki wao wanaopenda kucheza mpira kwa mdomo.

Shubamiti.
Tukutane kwa mkapa.
 
Hivi dayamondo! saundo! bado wapoo!
 


YANGA ni timu ya Wapumbavu.

Hawana Akili.

Hawajaenda shule
 
"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
Na mtaendelea kuumia sanaa cha msingi matokea hampangi ninyi so lets wait 90'
 
pole sana maana simba imekushughulisha sana! Sijui utajificha wapi kesho muda kama huu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…