Salam
wana jf msaada tafadhali naoma kuuliza je naweza pangia form 5 kwa matokeo hayaaaS****/014*
M
25
III
CIV-D HIST-C GEO-C KISW-C ENGL-C BIO-D B/MATH-F
HGE na EGM, hizi combs lazima somo moja huwe umepata kuanzia B na kuendelea, najingine kuanzia C na kuendelea ili kuchaguliwa shule za government. Hapo shule ya za serikali utapata ila tegemea kupangiwa HGL au HKL .
Salam
wana jf msaada tafadhali naoma kuuliza je naweza pangia form 5 kwa matokeo hayaaaS****/014*
M
25
III
CIV-D HIST-C GEO-C KISW-C ENGL-C BIO-D B/MATH-F