Kwa haya ni ngumu kukwepa vikwazo vya uchumi!

Kwa haya ni ngumu kukwepa vikwazo vya uchumi!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Kwa ubakaji wa demokrasia wa kitoto tusingangae kuwekekwa vikwazo kama nchi.

Kuna wanaosema tusijali lakini ukweli ni kwamba nchi yetu inategemea sana watalii ambao wanatoa hizo nchi.

Utalii ni sehemu kubwa sana ya pato la nchi. Pili nchi yetu inategemea sana misaada hasa Afya kwa mwaka tunapewa zaidi ya $500 na USA pekee.

Hivyo hawa watekaji wachache wanaweza kuturudisha nyuma kwasababu tu ya matumbo yao bila kujali nchi kwa ujumla wake.
 
Vikwazo awekewe mtu mmoja tu.
Sisi wengine hatuhusiki

Tumshukuru mama yetu kipenzi kwa kutufikisha hapa tulipo
 
Back
Top Bottom