Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Wananchi hawana mbadala wa kuipachikia CCM ila ukweli ni kuwa hawaitaki tena. Sio wazee wala vijana.
Tozo, ufisadi upendeleo umekithiri ndani ya CCM huku raia wakiwa hoi kimaisha.
ACT Wazalendo ni mamluki waganga njaa. Hawapo kwaa ajili ya kumsaidia mwananchi aondokane na utawala usiofaa wa CCM.
CHADEMA sisi ni watafuta pesa tu na kujipigia na wananchi walishashutuka.
Kikipatikana chama makini kikawapa wananchi ukweli hata kura zikiibiwa CCM haitoboi 2025