Kwa haya ya kuchaguana wenyewe kwa wenyewe CCM kwa kuvunja katiba zote, sahau Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi

Kwa haya ya kuchaguana wenyewe kwa wenyewe CCM kwa kuvunja katiba zote, sahau Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Uhuni huo uliofanyika na CCM akina Samia et al kujivika madaraka ya kuvunja Katiba ya nchi, Katiba ya CCM , sheria zoooote, upinzani sahau kuwa kupata katiba Mpya na Tumehuru ya uchaguzi!

sasa ni full swing DICTATORSHIP!

MADIKITEIT WANAWEK WALIOWAHI KUWEPO DUNIANI

Indira Gandhi

Isabel (Martinez) Peron,
 
Uzuri ni kwamba wao wanachaguana kama binadamu. Lakini yupo mchaguzi afanye chaguzi zake kwa taratibu zake za hali ya juu.
 
Uzuri ni kwamba wao wanachaguana kama binadamu. Lakini yupo mchaguzi afanye chaguzi zake kwa taratibu zake za hali ya juu.
Hehe bado mnamawazo ya 2021🤣🤣 na amewawahi mkicheza vibaya mnamuondoa mtu wenu badala yake
 
Madaraka matamu, 2020 bibi alikuwa na plan za ku retire visiwani 2025 acheze na wajukuu, hapo alikuwa assistant.

Baada ya kuonja utamu wa buyu zima la asali sasa hivi anatamani hata angeweza nunua uhai wa ziada ili aendelee kutawala. Kwa dalili zilizopo hata 2030 hatotaka kuondoka labda Mungu ampende zaidi.

Rasmi sasa tuna Museveni wa kike.
 
Katiba mpya italetwa na Mbowe 😂😂
Umeona eeeh!!

Analalamika kuhusu Katiba Mpya alafu anakesha humu kumpigia kampeni Mbowe badala Lissu ambaye tuna uhakika akiwa mwenyekiti wa CHADEMA suala la Katiba Mpya ndo itakuwa hoja ya msingi kuelekea mbele kuanzia sasa.
 
Uhuni huo uliofanyika na CCM akina Samia et al kujivika madaraka ya kuvunja Katiba ya nchi, Katiba ya CCM , sheria zoooote, upinzani sahau kuwa kupata katiba Mpya na Tumehuru ya uchaguzi!

sasa ni full swing DICTATORSHIP!

MADIKITEIT WANAWEK WALIOWAHI KUWEPO DUNIANI

Indira Gandhi

Isabel (Martinez) Peron,
Upo mstari hawatavuka..believe it! ulichorwa kwa saddam, gaddafi..hata juzi kwa BDP Botswana..hata wakusanye waganga wote wanaowajua hawatavuka mstari! Subiri omba uzima..
 
Back
Top Bottom