Blue monday bro!!Ni jambo la kushangaza sana, katika njia ya Mwenge kuelekea Tegeta kuna askari wa traffic wanne ambao badala ya kuongoza magari na kurahisisha foleni, wamegeuza eneo hilo kuwa kituo cha kudai rushwa.
Wanaacha majukumu yao ya msingi na kushughulika na dhambi, hali inayosababisha mateso makubwa kwa madereva na abiria.
RTO inapaswa kuchukua hatua za haraka kuwabadilisha hawa askari kwani wananchi wameshachoshwa na tabia hii.
ahahaaaaa!!!!!,wana njaa hao!!Hahahaaaaa br nilikuwa nakunywa juice nimeagizaaaaa gaflaaa safariii nilivyochekaaa π π π π