Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
mshahara ulisha toka tangu asubuhi
kwake ni za mwishomwisho mkaomboleze pamojaDotto James si bado yupo?
Acha uongo, watu tumeshatumia laki saba hadi sasa, zimebaki 1.4M. Bila shaka zitanivusha mwezisignatotory wote wapo msiban mzee tulia kwanza hadi jumatat siku ya kaz.endelea kuweka daftra kwa mangi
Inazingua sio ww tuJamani Simbanking ya CRDB inazingua au ndio sina changu wajameni?!
Yaani nimedata hapa nikajua ishabuma hiyo....Inazingua sio ww tu