Kwa heri 2022 karibu 2023, "Watu Wazuri Hawafi"

Kwa heri 2022 karibu 2023, "Watu Wazuri Hawafi"

saidoo25

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
624
Reaction score
1,456
Leo ndio mwisho wa Mwaka 2022 nawakatia kila kheri watanzania wenzangu wote wa dini zote na wasio kuwa na dini.

Ila Tukio kubwa lilinifikisha sana mwaka 2022 ni kutangazwa kwa kampeni mpya ya familia moja maarufu wakisema 'WATU WAZURI HAWAFI'.

Tumuombe Mungu tuingie 2023 tukiwa na afya njema na tuendelee kulijenga Taifa letu pendwa.

Saidoo25
Zanzibar
 
Nyerere 77
Mkapa 82
Jk 72
Msuya 88
Malecela 89
Warioba 87
Salim 86
Mzee Ruksa 97
He was right
 
Watu waziri hawafi, napinga kwa nguvu zote. Kijijini kulikuwa na bibi mmoja mchawi, aliishi miaka 120 na kazi yake ni kuuwa watu hasa watoto! Huyu ni mtu mzuri? Naona wanaoishi katika ulimwengu wa roho (wabaya) ndio wanaoishi maisha marefu zaidi.
 
Back
Top Bottom