saidoo25 JF-Expert Member Joined Jul 4, 2022 Posts 624 Reaction score 1,456 Dec 31, 2022 #1 Leo ndio mwisho wa Mwaka 2022 nawakatia kila kheri watanzania wenzangu wote wa dini zote na wasio kuwa na dini. Ila Tukio kubwa lilinifikisha sana mwaka 2022 ni kutangazwa kwa kampeni mpya ya familia moja maarufu wakisema 'WATU WAZURI HAWAFI'. Tumuombe Mungu tuingie 2023 tukiwa na afya njema na tuendelee kulijenga Taifa letu pendwa. Saidoo25 Zanzibar
Leo ndio mwisho wa Mwaka 2022 nawakatia kila kheri watanzania wenzangu wote wa dini zote na wasio kuwa na dini. Ila Tukio kubwa lilinifikisha sana mwaka 2022 ni kutangazwa kwa kampeni mpya ya familia moja maarufu wakisema 'WATU WAZURI HAWAFI'. Tumuombe Mungu tuingie 2023 tukiwa na afya njema na tuendelee kulijenga Taifa letu pendwa. Saidoo25 Zanzibar
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 20,925 Reaction score 51,688 Dec 31, 2022 #2 Nyerere 77 Mkapa 82 Jk 72 Msuya 88 Malecela 89 Warioba 87 Salim 86 Mzee Ruksa 97 He was right
K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 7,452 Reaction score 10,785 Dec 31, 2022 #3 Watu waziri hawafi, napinga kwa nguvu zote. Kijijini kulikuwa na bibi mmoja mchawi, aliishi miaka 120 na kazi yake ni kuuwa watu hasa watoto! Huyu ni mtu mzuri? Naona wanaoishi katika ulimwengu wa roho (wabaya) ndio wanaoishi maisha marefu zaidi.
Watu waziri hawafi, napinga kwa nguvu zote. Kijijini kulikuwa na bibi mmoja mchawi, aliishi miaka 120 na kazi yake ni kuuwa watu hasa watoto! Huyu ni mtu mzuri? Naona wanaoishi katika ulimwengu wa roho (wabaya) ndio wanaoishi maisha marefu zaidi.