mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,904
- 8,371
Hakika nitamukosa Mh Fred Gumo,mpiganaji nguli nilimpenda alivyokuwa thabiti na imara na ndio hata akaitwa jina la utani alilopenda sana kulitumia akiwa kwenye mapambano''Kaa ngumu' katika maamuzi yake alikuwa hamuogopi yeyote pale nafsi nafsi yake ilipomtuma kufanya jambo ambalo analiamini,pia nilimpenda kwa jinsi alivyokuwa anatumia lugha ya kiswahili kufikisha ujumbe wake ,Gumo ni kama marehemu Michuki,baba Jimmy (huyu ndie nita mmiss zaidi na pumbafu mavi ya .....)kile kipindi cha Hekaheka Citizen kitakosa msisimuko wa baba Jimmy.
Kwa Gumo kung'atuka imekuwa ni pigo kwa RAO,nafikiri angebaki kuwa kwenye summit,ila pia umefika wakati wa Mzee Ntimama kusema basi kwani wakati ni ukuta inabidi abaki apumzike na wajukuu zake,naye apumzike
To Gumo kila la heri ,ujienjoy katika kila ulifanyalo