Kwa heri Tecno Karibu iPhone8 plus.

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
2,228
Reaction score
2,064
Habari za mwaka Jana wana jf.Ni matumaini yetu tumevuka salama tunamshukuru Mungu na wenzetu ambao hawako sawa tunawapa pole.
Mwaka Jana ulikuwa na mafanikio sana Kwangu Kwani nilianzisha baadhi ya project na zikanipa returns Nzuri.Baada ya mafanikio kutoka kwenye project nimeamuwa kujipongeza na mzigo mpya Iphone 8(storage 256GB).Naitupa kale ka Tekno boomJ7.
Assets>rewards.Nashukuru mwaka 2017
 
Watu wa QNET mna mbwembwe sana nyie
 
Kama hiyo iPhone ndo umetumia kuandikia hiyo heading nakushauri tu urudi kwenye "tenno". Hiyo itakuwa ni FEKI.
 
Nilikuwa naumia sana kuona watoto wadogo wanatamba na simu zao.
 
usichukulie shida zako kama zake, huwez jua anamaisha gan mkuu.
 
Kama unatumia Tekno am sorry
Mkuu hizo iphone zimepewa bei ya juu ili itumiwe na watu wenye uelewa mzuri wa simu na teknolojia kama unajijua uwezo wako ni mdogo ni kheri usijipe majukumu makubwa kudhani ni sifa.
Ona sasa tecno yako umeipa majina kibao mara tenno, mara tekno, najua umepumzika tecno kwa muda tu, likizo ikiisha utarudi.
Karibu Tena Mkuu Siku Utakayorudi.
Mapumziko Mema!
 
Mkuu hiyo boom j7 nakupa 20,000/=
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…