Kwa heshima na taadhima huyu ndio shemeji yenu!

Kwa heshima na taadhima huyu ndio shemeji yenu!

babu M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Posts
5,222
Reaction score
3,173
Kwa heshima na taadhima huyu ndio kwa Issa Michuzi.
 
Na huyo wa pembeni ndio wewe?....hongera kwa kuchagua
 
Mbona una kabinti kadogo ukilinganisha na ww?hapo utatafuta viagra sasa hivi?hutaendana na speed yake
 
shemeji number ngapi????anyway,cute.:embarrassed:
 
Mmmhhh, namfowadia waziri wa elimu na Kova wakukamate, huwezi kutuharibia vidogo vyetu namna hii, siku ile alipoondoka home alikua amevaa kinguo icho icho na akasema anaenda tution, sasa ndo tuition yenyewe hiyo jamani? tena alirudi amechoka kweli na hakutaka kuongea na mtu, sijui ulikapa mvinyo!!
 
kuweni na heshima tafadhali mnaojiita Great thinkers,uso wa huyo dada unaonyesha sio mdogo kama mnavyomfikiria
 
kuweni na heshima tafadhali mnaojiita Great thinkers,uso wa huyo dada unaonyesha sio mdogo kama mnavyomfikiria

tena kweli maana hata mtume wa waislamu alioa kitoto cha miaka 9 sasa pengine jamaa hiyo ni suna
ya mwamed
 
Kwa heshima na taadhima huyu ndio kwa Issa Michuzi.

Michuzi mtoto mzuri hivi si utakufa kwa presha jiji hili la mafataki aisee? Huyu ni mke wa kwanza kwa michuzi au kuna mwingine? naona kama binti mbichi kabisa?
 
Aafu kidole kimoja cha Michuzi kimekaa kiaina flani hivi. Ushakistukia?!
 
Wanaendana bana cheki picha hii, kwa karibu kumbe ana sura ya kiutu uzima. Sema hakajiamini hakajazoea kamera bado...Michuzi una wife bombaa.

 
Kwa mtizamo wangu huyo wa pili toka kulia ndio haswa saizi ya ankal!
 
Aafu kidole kimoja cha Michuzi kimekaa kiaina flani hivi. Ushakistukia?!

halafu ww una macho like an eagle eye, hicho ndio kidole cha yaleeeeeee maswala, switch
ila kama kidogo vile, Michuzi na huyu bibie hawaendani, demu kama mdogo pili michuzi mfupiiiiiiii, lazima michuzi atachanganyikiwa wait, ila si mke wa nne huyu au? + wa pembeni mhhh
 
Heeee jamani aindeeee!ngoja nikamtonye fb uwiii atalia mbn leo shogaangu anajadiliwa jf leo!hahhaha!
 
Back
Top Bottom