Kwa heshima na taadhima huyu ndio shemeji yenu!

Michuzi mtoto mzuri hivi si utakufa kwa presha jiji hili la mafataki aisee? Huyu ni mke wa kwanza kwa michuzi au kuna mwingine? naona kama binti mbichi kabisa?
Amekaa kinyarwanda, umemtoa kigali nini mzeee?
 
Wanaendana bana cheki picha hii, kwa karibu kumbe ana sura ya kiutu uzima. Sema hakajiamini hakajazoea kamera bado...Michuzi una wife bombaa.

Dah dada zetu muda mwingine na hayo makorombwezo yenu usoni jamaniiiii!!!!!!!!!!! Ona sasa huyo dada mnene alivyojiharibu usoni kama MDOLIIII!!!!
 
Tatizo Michuzi anaforce ujana kinguvu, hataki kabisa kukubaliana na mabadiliko ya mwili na umri kuwa ashakuwa amekula chumvi nyingi.
 
mmmmm we mbaba, usijekuwa fataki:embarrassed:
Ka mwanafunzi wa secondary fulani vile:embarrassed:

hapo mwongezeni na shehe yahya kamwoa binti mdogo sanaaaaaa kule tabata ndio mke wake mdogo kwa sasa anakaa nae kashamzalisha hawa mafataki wanatakiwa kushtakiwa kabisa
 
Hivi kweli wanaume wafupi kama Michuzi wamejaliwa mitarimbo. Kama ni kweli, basi shemeji kazi anayo.
 
shemeji kabeba mkoba mkubwa lazima atakuwa na lens za kamera ndani hongera sana shemeji umependeza ila mkoba mkubwa sana
 
Amekaa kinyarwanda, umemtoa kigali nini mzeee?
Toto la Kiganda hilo. Michuzi ka-import... inawezekana akawa na mchanganyiko wa Kinyarwanda si unajua tena hata mke wa Museveni ni dizaini.
 
Toto la Kiganda hilo. Michuzi ka-import... inawezekana akawa na mchanganyiko wa Kinyarwanda si unajua tena hata mke wa Museveni ni dizaini.
Hizo shingo zao bana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…