TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Ulipoongea suala la nchi kupigwa mnada, kuuzwa vipande yawezekana nilikudharau, nilikukejeli, nilikutukana, nilikuona huyu ni masalia ya Jeshi la mtu mmoja JJPM.
Siku unadharaulika mbele ya kamera za waandishi nilichekelea sana na kusema ndiyo dawa yenu watu wa kariba yako wasiompenda mama.
Nakumbuka ulipotea sana hata bungeni hukuonekana hadi siku nakuona kwenye gazeti ukiwa na wapiga wako sikujua ulikuwa ukiwaambia nini!.
Wiki kadhaa nyuma nimekaa nawaza nikwambie nini ndg mbunge wa Kongwa, leo nimekata shauri nikuombe radhi, hakika ulinena hasa!.
Kwa niaba yangu nisamehe mimi, nimekosa mimi, nilikuwa najifanya najua mimi, kumbe wewe uliona mbali na itakuwa ulijua tabia ya mtu fulani na ndiyo maana ukaamua kufungua code hadharani.
Asante sana ndugu spika uliyeondoshwa kwa fitina.
PIA SOMA
- Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni