Kwa heshima na taadhima masoud Djuma ajiuzulu

Kwa heshima na taadhima masoud Djuma ajiuzulu

craq

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
859
Reaction score
1,866
0d7bf70bce8c1d08a977e9fa05b72778.jpg
 
We mpuuzi no. 1
Ajiuzuru kwa lipi? Tena mi nimempenda sana huyu kocha toka amefika kamchezesha karibia kila mchezaji ili angalie viwango vyao halafu awe na first eleven nzuri.
 
We mpuuzi no. 1
Ajiuzuru kwa lipi? Tena mi nimempenda sana huyu kocha toka amefika kamchezesha karibia kila mchezaji ili angalie viwango vyao halafu awe na first eleven nzuri.

first eleven ipi ya kutafutwa wakati sio kocha mgeni acheni kuzingua
 
We mpuuzi no. 1
Ajiuzuru kwa lipi? Tena mi nimempenda sana huyu kocha toka amefika kamchezesha karibia kila mchezaji ili angalie viwango vyao halafu awe na first eleven nzuri.
Safi sana Mkuu.
Huyu kocha ni kocha mzuri sana, kila mchezaji anampa nafasi.
Gyani alikuwa anaweka benchi lakini huyu kocha amemuibua na anaonekana mzuri uwanjani.
Amog ndiye aliyewapa ubingwa Yanga mwaka jana kwa kuwaweka benchi Ajibu na Mkude kwa chuki zake binafsi.
Leo tunawaona MO Ibrahim, Ndemla, Gyan, Luizio, na wengineo wakionesha viwango vyao wazi kabisa.
Huyo Kocha nimemkubali sana na apewe muda nina uhakika atafanya yale wapenzi wa Simba wanapenda.

Asante Masud Juma kazi yako inaanza kuonekana.
 
Back
Top Bottom