Kwa heshima rayon na yanga warudishe viingilio

mbwewe

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
3,267
Reaction score
3,404
Maana sio kwa kiwango kile walichotuonesha siku ya leo!
Maana mechi ilikuwa km ya maveterani

Wachezaji wanajivuuta km wamelazimishwa kucheza

Wanakosa magoli ambayo hta watoto wa miaka kumi wanafunga

Creativity ilikuwa ni sawa na 0 %
 
Ulilazimishwa kwenda uwanjani ?

Mikia mbona mnakuwa wambea wambea......
 
Hivi Simba ile Rayon mliocheza nayo Simba day ni hii hii au Rayon ya Msata????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…