Kwa heshima Simba SC, Abdala Muhene try again, Murtaza Mangungu, CEO Majura na Bodi yote wajiuzulu mara moja!

Mngefungwa na Al Ahly goli 5 msingelalamika na bado mngeendelea kusema mmekufa kiume

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Dah!! Umenichekesha kweli mkuu.
 
[emoji1787][emoji1787]umeongea ukweli ,wakati nikiwa mkoani nilikuwa sijui hujuma ya hizi timu,had nilipohamia Dar,nakuwa nashinda makao makuu ya Yanga pale jangwani, mipango yote ya Derby nilikuwa nashiriki ,mechi inaanza maandalizi wiki 2-3 kabla .
 
Wewe ni mtu mzima nadhani upo kwenye jotoridi bila shaka unaitaji kumenywa!! Soma uelewe ndio utoe maoni yako.

Ok I'llIla kwa faida yako nimeandika kwamba kwa heshima ya club ya Simba kutokana na kilichotokea ni vyema wakaachia ngazi wote ili kuonyesha kuwajibika goli tano ni nyingi mno!!

Maana tetesi za hujuma zilikuwepo na walikataa kutoa ushirikiano kuzuia hujuma.

Sasa sijui ulifundishwa na mjinga gani? Kuwa mtu akiwa upande wa mwekezaji hapaswi kuwajibika?
Suala la kujiuzuru linaweza kutokea lakini bodi inaweza kuamua kumrudisha inategemea alijiuziru kwasababu gani? Nafikili umeelewa wewe mshambaa.
 
Kwaafrica kwa kiongozi kujiuzuru sijawahi kuona,kwa wazungu kujiuzuru sawa ila kwa Africa nakukatalia
Africa uongozi ni ajira na utajiri wakati wazungu uongozi ni huduma na kujitoa that's why akikosea anawajibika
 

simba Ina Viongozi hawajitambui. Wataiua Simba kwa mikono yao.
 
HAUAWEZI KUJIUZURU WAROHO WA MADARAKA HAO.

TENA WOTE SI WASIKIVU.
VIONGOZI WA HOVYO SANA HAO

WAJINGA NA HAWAJAENDA SHULE
 
Suala la kuwajibika kibongo bongo bado sana..

Wajiuzulu, ulaji wapatie wapi

Madaraka matamu weee
 
Makolo yanaruka na kukanyaga,yanaruka kinyama×2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…