Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Safari hii tuna hasira naye zaidi ya hasira alizonazo Lissu kwa mbilikimo subwoofer ππππ
ππππππ Uzuri ni kuwa sisi ndio wasimamizi wa uchaguzi,tutamalizana huko huko,asituletee wazimu wake.Safari hii mtu analiwa kichwa, masikio hadi jicho.
Atoke tu kwa amaniππππππ Uzuri ni kuwa sisi ndio wasimamizi wa uchaguzi,tutamalizana huko huko,asituletee wazimu wake.
Kati ya watu 500 wanalipwa watu 3 halafu unasema malimbikizo yameshughulikiwa. Kama wewe umelipwa shukuru Mungu. Watu bado wanadai malimbikizo ya nyuma hadi malimbikizo mapya yanakuja yanakutana inakuwa malimbikizo juu ya malimbikizo.tukiacha unafiki japo madaraja hayajapanda lakini utawala huu uhakika wa mshahara upo tena kwa wakati si kama utawala uliopita, watu walikua na malimbikizo ya mishahara awamu ilopita lakini yameshughulikiwa vizuri
hakuna utawala usio na changamoto kwa hiyo kutopanda madaraja ndo changamoto ya utawala huu
Nilioahiriwa nao June 30 ,2015 kuna baadhi mpaka leo hawajalipwa mshahara wao wa July 2015. Mimi nililipwatukiacha unafiki japo madaraja hayajapanda lakini utawala huu uhakika wa mshahara upo tena kwa wakati si kama utawala uliopita, watu walikua na malimbikizo ya mishahara awamu ilopita lakini yameshughulikiwa vizuri
hakuna utawala usio na changamoto kwa hiyo kutopanda madaraja ndo changamoto ya utawala huu
Na wewe ni mtumishi wa umma?kama ndiyo,basi Tanzania kuna tatizo kubwa sana.Safari hii tuna hasira naye zaidi ya hasira alizonazo Lissu kwa mbilikimo subwoofer ππππ