PutinV
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 1,046
- 1,643
Hussein Amin Bicar 1913-2002
Hussein Amin Bicar alizaliwa mwaka 1913 huko Alexandria Misri. Baada ya kuhitimu masomo yake 1934 alianza kazi yake ya sanaa kuwa moja ya walimu wakubwa wa sanaa nchini Misri akitumia muda wa miaka 60 akiwa kama mwalimu wa sanaa hasa uchoraji katika shule na vyuo mbalimbali.
Bicar ni moja ya wasanii ambao Africa inajivunia kuwashuhudia kutokana na uwezo wake mkubwa kisanaa.
Ikumbukwe Bicar hakuwa mchoraji tu bali pia mpigaji wa vyombo muziki na mshairi.
Kwa upande wangu kazi za Bicar zinanivutia sana kwani zina utulivu mkubwa sana ndani yake.
Baadhi ya kazi za HUSSEIN BICAR.
The Landlord
Hanging Clothes
The Wedding Procession
The Village Girl
The Tamboura Player
Nubian Fantasy
The Green Planet (Self-Portrait)
THE GRAIN SILO
Marine in the Moonlight
Untitled
Nubian Woman and Goat
Arouss Al Nubia (Nubian Bride)
Al Ashjar Tamout Wakifa (The Trees Die Standing
Ameshinda tuzo mbalimbali kama utambuzi wa mchango wake katika sanaa.
Medal of pride from government of Morocco, 1942
Patent of appreciation from Minister of Culture in Syria, 1961
First class Medal of Science and art, 1967
Honorary Award of Biennale of Alexandria, 1970
Certificate of Honor from Art Academy, 1972
Gamal Abdel Nasser Award with participation of the Soviet Union, 1975
The State Merit Award in 1978
National Certificate of Appreciation and Medal of Honor, 1980
Mubarak prize (Egypt 2000).
Bicar wakati wa uzee wake
Nawasilisha
Sf