DARASA HURU ๐๐พโโ๏ธ
Kuelekea Semi-final na ARGENTINA...
Elcapitano Maestro ๐ฃBaadhi ya wana England ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ akiwemo Tuchel ๐ฉ๐ช wakiulizwa kuhusu Argentina kuelekea Nusu Fainali.
1. Jude Bellingham ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ ๐ฃ "Argentina? Hapana, wao ni timu ya kawaida tu sisi ni bora kuliko wao kwa kila kitu."
2. John Terry ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ ๐ฃ"Argentina HAINIPI wasiwasi. siioni Argentina kama bora kuliko sisi hata ukiangalia Mchezaji kwa mchezaji, sisi ni BORA KULIKO Argentina."
3. Joe Cole ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ ๐ฃ"Hakika tutawashinda Argentina kwa ushindi mkubwa, tutashinda Kombe la Dunia wakati huu"
4. Tuchel (Kocha wa Uingereza) ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ ๐ฃ "Argentina? Hawako vizuri kama sisi, tutawapa pambano zuri."
5. David Beckham ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ ๐ฃ"Argentina? Wako vizuri tu kwa sababu wana Messi, natumai Uingereza itaingia fainali"
6. Harry Kane ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ ๐ฃ"Tulipigana vizuri ili tuwe hapa tulipo leo, Argentina haitatupita sisi tutacheza fainali."
7. Declan Rice ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ ๐ฃ "Argentina? Wana Messi na sisi tuna timu, sisi ni bora kuliko wao."
๐๐พโโ๏ธ