Kwa hii hoja nina Uhakika kesho tu nazingirwa nyumban kwangu na Kufunguliwa kesi ya Uchochevu

Kwa hii hoja nina Uhakika kesho tu nazingirwa nyumban kwangu na Kufunguliwa kesi ya Uchochevu

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Posts
6,651
Reaction score
14,337
Nlishaanza kuandika kuelezea ukweli na uhalisia wa Jambo hili. Nikakumbuka kwanza kwenda Bank kuangalia salio.

Bahati mbaya nimekuta pesa nlizo nazo hazifiki Mil 7. Ikabidi ni delete maana nimejaribu hata kuangalia kama kuna jamaa wanaweza nikopesha niwe nazo hizo pesa standby kwa ajili ya dhamana na faini baada ya kuandika jambo nililo nalo kichwani.

Jamaa zangu nao hawana pesa. Nimeamua nisubiri mpaka mwisho wa mwezi nikilipwa salary tu ntakuja kuandika hii issue.

Najua kila atakayesoma atafikicha macho yake kwa muwasho. Na atakayesikia masikio yatamwaka moto.

Ngoja nikusanye pesa zikikamilika nakuja kusema na sitokuwa na waswas hata nikizingirwa.
 
ahahaa acha mkwara wewe huna lolote wewe andika hyo habari weka account number
 
Woga ni kitu kibaya sana, angalia shemeji atakupiga mkwara hata akirudi saa saba usiku.
 
Wewe andika tu, pia unaweza kufungwa kwa mkopo kisha ukamalizia
 
Kumbe mluzi una jinsia?!
Kuna maneno huwa yanaandikwa sana na jinsia ya kike ,jaribu kuyatumia ulete mrejesho neno kama pheeeeew au chaaaa

Wanaposema gari kama Virts ,Oppa,IST ni za kike huwa zina jinsia ?

Mluzi ninao usemea ni kama ule unaopigwa huku unaimba nyimbo fulani ila sasa badala ya kuimba uwe wa kuonyesha mshangao
 
Bila shaka wewe pia waweza kuwa jipu.. Maana umesema mwisho wa mwezi!! ina maana utapata M7 mwisho wa mwezi? kwa hali hii bila shaka unamiliki mishahara miwili miwili.
 
Back
Top Bottom