Kwa hii nyomi ya Diamond platnumz wa enzi hizo kuna kitu inabidi ajifunze...

Dong Jin

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2018
Posts
968
Reaction score
2,034
Watoto wa mjini siku hizi huita VIBE KAMA LOTEEEE... Mond wa enzi hizo alikuwa km rais wa marekani anavotembelea nchi za Afrika
Je diamond wa sasa hv anaweza kufikia tena umati km huo? Wa watu ambao wapo tayari kuacha kazi zao kumsubiri yeye....
Hebu ziangalie
 

Attachments

Kwema wangundu

Licha ya msanii diamond platnumz kunufaika kimziki, kwa sasa inaonekana.. Hana tena ile ladha kama hapo awali.

Je ni kweli..
 
Siku zingine usikimbilie kuanzisha uji kama hakafu wataka nyama thou has is sie!
Punguza wivu kwa mwanaume mwenzio
 
Hebu pelekeni chuko zenu binafsi huko maana mpaka sahv hakna ambaye yupo juu ya mond
 
Kushuka atashuka tu,kweni kila lenye mwanzo lina mwisho,ila muda wake wa kushuka bado
 
nabii hakubaliwi kwao!,jamaa anakubalika nchi za jirani,na zingine za Afrika.
Bongo flavor wapo vizuri,bahati mbaya wameinga sana "beat" za Ki-Nigeria.!!!
 
Kushuka sio Leo Wala kesho japo kuwa mda wake ukifika atashuka,but unaonekana Ni mwanaume mwenyewe gubu kupitiliza ko angalia Hilo gubu lisije kukunyonga
 
Kushuka sio Leo Wala kesho japo kuwa mda wake ukifika atashuka,but unaonekana Ni mwanaume mwenyewe gubu kupitiliza ko angalia Hilo gubu lisije kukunyonga
Ungeelewa kilichoandikwa nahisi ungekuwa kwny kundi la magenious... lakin masikin ya Mungu hata kuelewa hujaelewa umekimbilia kureply.. ngoja nkuweke kundi la mabogas... nani kaongelea kushuka??? Uwage unasoma vizuri bhana unatuahibisha.... πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…